Kiamis
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kiamis nilugha ya Kiaustronesia nchiniTaiwan inayozungumzwa naWaamis. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiamis imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamis iko katika kundi la Kiformosa-Mashariki.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiamis kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |