Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kentucky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Jimbo la Kentucky
Kentucky

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuFrankfort
Eneo
 - Jumla104,659km²
 - Kavu102,896 km² 
 - Maji1,763 km² 
Tovuti:  http://www.kentucky.gov/

Kentucky ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu niFrankfort.

Miji muhimu baada ya Frankfort niLouisville,Lexington,Paducah,Pikeville naAshland.

Kiingereza ni lugha rasmi.

Imepakana naIllinois,Indiana,Ohio,West Virginia (Virginia Magharibi),North Carolina (Carolina Kaskazini),Tennessee naMissouri.

Jimbo lina wakazi wapatao 4,269,245 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 104,659.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]

Commonwealth of Kentucky Official Website

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuKentucky kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kentucky&oldid=1121974"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp