Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kenda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mabadiliko katika kuandika tisa.

Kenda niKiswahili asilia kwa namba 9. Kwa kawaida inaandikwa9 lakiniIX kwanamba za Kiroma na٩ kwazile za Kiarabu.

Vigawo vyake vyanamba tasa ni: 3 x 3.

Neno hili ni la asili yaKibantu. Siku hizi neno "tisa" ambalo ni neno lenye asili yaKiarabu hutumiwa zaidi kutaja namba 9, pamoja natisini (tisa marakumi).

Kamusi za mwanzo na katikati yakarne ya 20 kamaM-J SSE zinasema ya kwamba "kenda" iliwahi kutumiwa sawa na "tisa".

Siku hizi matumizi yake imepungua sana.

Mfano wa matumizi yake ni katika jinaMijikenda linalotaja kundi la makabila au koo 9 zaKenya.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yahisabati bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKenda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kenda&oldid=990305"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp