Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kelvini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kelvini niKizio chaSI kwahalijoto.Alama yake ni K.

Kiwango chake kinaanza kwenyesifuri halisi (= -273.15°C) pasipo mwendo wowote wamolekuli.Kizio kimoja cha Kelvini ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati yasifuri halisi (=0 K) nakiwango utatu chamaji (+0.01 °C).

Skeli ya Kelvini ililinganishwa na skeli ya selsiasi yaani kizio kimoja cha Kelvini ni sawa na kizio kimoja chaSelsiasi.

Skeli ya Kelvini hainanamba hasi (-) kwa sababu hakuna hali chini ya 0 K.

Jina limetokana namwanafizikiaMwingerezaWilliam Thomson aliyekuwa nacheo cha Lord Kelvin (18241907).

Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKelvini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kelvini&oldid=1442790"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp