Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kekeo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kekeo
Kekeo kidari-chekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Aves (Ndege)
Oda:Cuculiformes (Ndege kamakekeo)
Familia:Cuculidae (Ndege walio na mnasaba nakekeo)
Nusufamilia:Cuculinae (Ndege wanaofanana na kekeo)
Ngazi za chini

Jenasi 12:

Kekeo nindege wadogo hadi wakubwa kiasi wanusufamiliaCuculinae katikafamiliaCuculidae. Wana mkia mrefu na mabawa marefu na membamba. Miguu yao ina vidole viwili vikabilivyo mbele na viwili vikabilivyo nyuma. Rangi zao kuu ni nyeusi, nyeupe na rangi ya kijivi, pengine rangi ya majani na ya manjano. Kekeo hulawadudu,mabuu ya wadudu namatunda, na spishi kubwa hulawanyama wadogo pia.

Kekeo hawajengi tago lao lenyewe lakini hutaga mayai yao katika matago ya ndege wengine, yai moja katika kila tago baada ya kutoa yai moja la mwenye tago (udusio wa kiota, Kiing.brood parasitism). Kwa kawaida mayai ya kekeo yafanana na yale ya mwenye tago. Mara nyingi ndani ya domo la makinda yao ni sawasawa na ile ya makinda ya mwenyewe, pengine wanafanana kabisa, lakini kinda la kekeo ni takriban kila mara mkubwa zaidi. Akitoka yai ayasukuma mayai au makinda ya mwenyewe nje ya tago. Mwenye tago aendelea kumpa kinda la kekeo chakula.

Spishi za Afrika

[hariri |hariri chanzo]

Spishi za Asia

[hariri |hariri chanzo]

Spishi za kabla ya historia

[hariri |hariri chanzo]
  • Eocuculus sp. - (Mwisho wa Eocene ya Teller County,MMA)
  • Eudynamis cf.taitensis (Henderson Island Koel) (Mwisho wa Quaternary)

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Kekeo didariki
    Kekeo didariki
  • Kekeo kijani
    Kekeo kijani
  • Kekeo shaba
    Kekeo shaba
  • Kekeo madoa
    Kekeo madoa
  • Kekeo rangi-mbili
    Kekeo rangi-mbili
  • Kekeo michirizi-myeusi
    Kekeo michirizi-myeusi
  • Kekeo wa Ulaya
    Kekeo wa Ulaya
  • Kekeo mweusi
    Kekeo mweusi
  • Kekeo kijivu
    Kekeo kijivu
  • Kekeo mdogo
    Kekeo mdogo
  • Kekeo wa Madagaska
    Kekeo wa Madagaska
  • Kekeo kidari-chekundu
    Kekeo kidari-chekundu
  • Kekeo domo-nene
    Kekeo domo-nene
  • Moluccan cuckoo
    Moluccan cuckoo
  • Chestnut-breasted cuckoo
    Chestnut-breasted cuckoo
  • Fan-tailed cuckoo
    Fan-tailed cuckoo
  • Plaintive cuckoo
    Plaintive cuckoo
  • Pallid cuckoo
    Pallid cuckoo
  • Grey-bellied cuckoo
    Grey-bellied cuckoo
  • Rusty-breasted cuckoo
    Rusty-breasted cuckoo
  • Banded bay cuckoo
    Banded bay cuckoo
  • Brush cuckoo
    Brush cuckoo
  • Horsfield's bronze cuckoo
    Horsfield's bronze cuckoo
  • Shining bronze cuckoo
    Shining bronze cuckoo
  • Asian emerald cuckoo
    Asian emerald cuckoo
  • Long-billed cuckoo
    Long-billed cuckoo
  • White-eared bronze cuckoo
    White-eared bronze cuckoo
  • Little bronze cuckoo
    Little bronze cuckoo
  • Black-eared cuckoo
    Black-eared cuckoo
  • Gould's bronze cuckoo
    Gould's bronze cuckoo
  • Violet cuckoo
    Violet cuckoo
  • Chestnut-winged cuckoo
    Chestnut-winged cuckoo
  • Sunda cuckoo
    Sunda cuckoo
  • Indian cuckoo
    Indian cuckoo
  • Himalayan cuckoo
    Himalayan cuckoo
  • Oriental cuckoo
    Oriental cuckoo
  • Pacific koel
    Pacific koel
  • Asian koel
    Asian koel
  • Dark hawk-cuckoo
    Dark hawk-cuckoo
  • Malaysian hawk-cuckoo
    Malaysian hawk-cuckoo
  • Rufous hawk-cuckoo
    Rufous hawk-cuckoo
  • Hodgson's hawk-cuckoo
    Hodgson's hawk-cuckoo
  • Philippine hawk-cuckoo
    Philippine hawk-cuckoo
  • Large hawk-cuckoo
    Large hawk-cuckoo
  • Moustached hawk-cuckoo
    Moustached hawk-cuckoo
  • Common hawk-cuckoo
    Common hawk-cuckoo
  • Channel-billed cuckoo
    Channel-billed cuckoo
  • Fork-tailed drongo-cuckoo
    Fork-tailed drongo-cuckoo
  • Square-tailed drongo-cuckoo
    Square-tailed drongo-cuckoo
  • Philippine drongo-cuckoo
    Philippine drongo-cuckoo
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kekeo&oldid=1115930"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp