Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kebo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kebo ya umeme
Kebo ya baharini ya mawasiliano

Kebo (kutokaKiing.cable) ni muunganisho wanyaya zilizofunikwa kwa mpira auplastiki ambazo hutumiwa kupitishiaumeme,simu, auishara zanuru[1].

Kazi ya kebo ni ama kubebanishati au ishara za habari.

Nyaya za kupitisha umeme kwa kawaida ni zashaba,alumini aualoi zametali. Kebo za kupitishadata siku hizi hutumia hasanyuzi za kioo zinazopitisha ishara za nuru.

Nyaya ndani ya kebo ni lazima kutengwa kwavihami kati yake vinavyozuia kuingiliana kwa mikondo ya umeme au ishara za habari[2].

Kama kebo inayoathiriwa na nguvu za nje inahitaji kuimarishwa.

Marejeo

  1. What is a cable assembly?, tovuti ya aboutmechanics.com
  2. Definition coaxial cable, tovuti ya techtarget.com
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kebo&oldid=1275089"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp