Kaunti ya Samburu
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kaunti ya Samburu | |
---|---|
Kaunti | |
![]() Uundaji wamatofali katika Samburu | |
![]() | ![]() |
Kaulimbiu: "" | |
![]() Kaunti ya Samburu katika Kenya | |
Coordinates:1°10′N36°40′E / 1.167°N 36.667°E /1.167; 36.667 | |
Nchi | ![]() |
Nambari | 25 |
Ilianzishwa | Machi 4, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Bonde la Ufa |
Mji mkuu | Maralal |
Miji mingine | Baragoi, Archers Post, South Horr, Wamba, Lodosoit |
Serikali | |
Gavana | Moses Kasaine Lenolkulal |
Naibu wa Gavana | Julius Lesseto Lawrence |
Seneta | Steve Lelegwe |
Mwakilishi wa wanawake | Maison Leshoomo |
Bunge | Bunge la Kaunti ya Samburu |
Wawakilishi Wadi | 15 |
Maeneo bunge | 3 |
Eneo | |
Jumla | km2 21 065.1 (sq mi 8 133.3) |
Idadi ya Watu | |
Jumla | 310,327 |
Msongamano | 15 /km² |
Majira ya Saa | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti samburu.go.ke |
Kaunti ya Samburu ni mojawapo yakaunti za Kenya zilizopo baada yakatiba mpya yaJamhuri ya Kenya kupatikanamwaka2010.
Wakati wasensa yamwaka2019 wakazi walikuwa 310,327 katika eneo lakm2 21,065.1,msongamano ukiwa hivyo wawatu 15 kwakilometa mraba[1].
Makao makuu yakoMaralal.
Kaunti ya Samburu ina eneo la km2 20 182.5 (sq mi 7 792.5). Imepakana naMarsabit,Turkana (kaskazini),Isiolo (mashariki),Laikipia (kusini) naBaringo (mashariki).
Ina hali yatabianchikavu nanusu kavu.
Hifadhi ya Taifa ya Samburu,Msitu Loroki,Mlima Ng'iro,Milima Ndoro naOl Doinyo Lenkiyo hupatikana Samburu[2].
Kaunti ya Samburu inamaeneo bunge yafuatayo[3]:
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuKaunti ya Samburu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |