Kaunti ya Nyeri
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kaunti ya Nyeri | |
---|---|
Kaunti | |
Kilele cha Lenana katikaMlima Kenya, Kaunti ya Nyeri | |
Kaulimbiu: "" | |
![]() Kaunti ya Nyeri katika Kenya | |
Nchi | ![]() |
Nambari | 19 |
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kati |
Mji mkuu | Nyeri |
Miji mingine | Karatina,Othaya,Kiganjo |
Serikali | |
Gavana | Edward Mutahi Kahiga |
Seneta | Ephraim Maina |
Mwakilishi wa wanawake | Rahab Mukami Wachira |
Bunge | Bunge la Kaunti ya Nyeri |
Maeneo bunge | |
Eneo | |
Jumla | km2 3 325 (sq mi 1 284) |
Idadi ya Watu | |
Jumla | 759,164 |
Msongamano | 228 /km² |
Majira ya Saa | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti nyeri.go.ke |
Kaunti ya Nyeri ni mojawapo yakaunti za Kenya zilizopo baada yakatiba mpya yaJamhuri ya Kenya kupatikanamwaka2010.Wakati wasensa yamwaka2019 wakazi walikuwa 759,164 katika eneo lakm2 3,325,msongamano ukiwa hivyo wawatu 228 kwakilomita mraba[1].Makao makuu na mji mkuu yao niNyeri.
Kaunti ya Nyeri imepakana naLaikipia (kaskazini),Kirinyaga (mashariki),Murang'a (kusini) naNyandarua (magharibi).
Topografia ya kaunti huwa na miinuko mikali na mabonde. Mlima Kenya hupatikana katika mpaka wa Meru na Nyeri.Mto Chania naMto Sagana ndiyomito mikubwa ambayo hupitia katika kaunti hii[2].
Kaunti ya Nyeri imegawanyika ifuatavyo[3]:
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuKaunti ya Nyeri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |