Kaunti ya Narok
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kaunti ya Narok ni mojawapo yakaunti za Kenya zilizopo baada yakatiba mpya yaJamhuri ya Kenya kupatikanamwaka2010.
Wakati wasensa yamwaka2019 wakazi walikuwa 1,157,873 katika eneo lakm2 17,950.3,msongamano ukiwa hivyo wawatu 65 kwakilometa mraba[1].
Makao makuu yakoNarok.
Mara Triangle (ambayo ni sehemu ya hifadhi yaMasai Mara) imo katika eneo la Trans-Mara.
Kaunti ya Narok imegawanywa katikamaeneo bunge yafuatayo[2]:
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuKaunti ya Narok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |