Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kaunti ya Kitui

Majiranukta:1°29′S38°23′E / 1.483°S 38.383°E /-1.483; 38.383
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa makao makuu, somaKitui

Kaunti ya Kitui
Kaunti
Kaulimbiu: ""

Kaunti ya Kitui katika Kenya
Coordinates:1°29′S38°23′E / 1.483°S 38.383°E /-1.483; 38.383
NchiKenya
Nambari15
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Mashariki
Mji mkuuKitui
Miji mingineMwingi
Serikali
GavanaCharity Kaluki Ngilu,EGH
Naibu wa GavanaGideon Nzau Wathe
SenetaEnoch Kiio Wambua
Mwakilishi wa wanawakeIrene Muthoni Kasalu
BungeBunge la Kaunti ya Kitui
Wawakilishi Wadi40
Maeneo bunge8
Eneo
Jumlakm2 30 429.5 (sq mi 11 748.9)
Idadi ya Watu
Jumla1,136,187
Msongamano37 /km²
Majira ya SaaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti
kitui.go.ke

Kaunti ya Kitui ni mojawapo yakaunti za Kenya zilizopo baada yakatiba mpya yaJamhuri ya Kenya kupatikanamwaka2010.

Wakati wasensa yamwaka2019 wakazi walikuwa 1,136,187 katika eneo lakm2 30,429.5,msongamano ukiwa hivyo wawatu 37 kwakilometa mraba[1].

Makao makuu yakoKitui.

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Kaunti ya Kitui inapakana na kaunti zaTana River,Taita Taveta,Makueni,Machakos,Embu naTharaka Nithi. Ina hali yatabianchikavu nanusu kavu. Ina vilima na ardhi tambarare. Kitui hupatamisimu miwili ya mvua, Machi hadi Mei na Oktoba hadi Disemba.

Utawala

[hariri |hariri chanzo]

Kitui imegawanywa katikamaeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bungeKata
Mwingi KaskaziniNgomeni,Kyuso,Mumoni,Tseikuru,Tharaka
Mwingi MagharibiKyome/Thaana,Nguutani,Migwani,Kiomo/Kyethani
Mwingi ya KatiMwingi ya Kati,Kivou,Nguni,Nuu,Mui,Waita
Kitui MagharibiMutonguni,Kauwi,Matinyani,Kwa Mutonga/Kithumula
Kitui RuralKisasi,Mbitini,Kwa Vonza/Yatta,Kanyangi
Kitui ya KatiMiambani,Kitui Mjini,Kyangwithya Magharibi,Mulan,Kyangwithya Mashariki
Kitui MasharikiZombe/Mwitika,Nzambani,Chuluni,Voo/Kyamatu,Endau/Malalani,Mutito/Kaliku
Kitui KusiniIkanga/Kyatune,Mutomo,Mutha,Ikutha,Kanziko,Athi

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019)[3]

[hariri |hariri chanzo]
  • Ikutha 82,964
  • Katulani 47,108
  • Kisasi 46,142
  • Kitui Central 105,991
  • Kitui West 70,871
  • Kyuso 76,867
  • Lower Yatta 63,329
  • Matinyani 47,811
  • Migwani 79,255
  • Mumoni 29,344
  • Mutitu 55,287
  • Mutitu North 21,215
  • Mutomo 113,356
  • Mwingi Central 108,713
  • Mwingi East 85,139
  • Nzambani 46,788
  • Thagicu 15,136
  • Tseikuru 40,871

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo2021-05-30.
  2. "Kitui County Assembly - Wards". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2018-04-12. Iliwekwa mnamo2018-04-17.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo2021-05-30.
Kenya Kaunti zaKenya na miji yake mikubwa
Kaunti 47
(tangu Machi 2013)
Miji mikubwa zaidi
Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusuKaunti ya Kitui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kaunti_ya_Kitui&oldid=1190734"
Jamii:
Jamii zilizofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp