Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kaunti ya Kisii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Kisii, nchini Kenya
Mojawapo ya mitaa ya Kisii, Kenya

Kaunti ya Kisii ni mojawapo yakaunti za Kenya zilizopo baada yakatiba mpya yaJamhuri ya Kenya kupatikanamwaka2010.

Wakati wasensa yamwaka2019 wakazi walikuwa 1,266,860 katika eneo lakm2 1,323,msongamano ukiwa hivyo wawatu 958 kwakilometa mraba[1].

Makao makuu yakoKisii.

Utawala

[hariri |hariri chanzo]

Kaunti ya Kisii inamaeneo bunge yafuatayo:

Eneo bungeKata
BobasiMasige West,Masige East,Bassi Central,Nyacheki,Bassi Bogetaorio,Bobasi Chache,Sameta/Mokwerero,Bobasi/Boitangare
Bomachoge BorabuBorabu Masaba,Boochi Borabu,Bokimonge,Magenche
Bomachoge ChacheMachoge Basi,Boochi/Tendere,Bosoti/Sengera
BonchariBomariba,Bogiakumu,Bokeira,Riana
Kitutu Chache KaskaziniMonyerero,Sensi,Mwamonari,Marani
Kitutu Chache KusiniBogusero,Bogeka,Nyakoe,Kitutu Central,Nyatieko
Mugirango KusiniBogetenga,Borabu/Chitago,Moticho,Getenga,Tabaka,Boikanga
Nyaribari ChacheBobaracho,Kisii Central,Keumbu,Kiogoro,Birongo,Ibeno
Nyaribari MasabaIchuni,Nyamasibi,Masimba,Gesusu,Kiamokana

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019)[2]

[hariri |hariri chanzo]
  • Etago 83,787
  • Gucha 83,740
  • Gucha South 83,623
  • Kenyenya 131,740
  • Kisii Central 166,906
  • Kisii South 135,134
  • Kitutu Central 154,175
  • Marani 107,464
  • Masaba South 122,396
  • Nyamache 130,898
  • Sameta 66,99

Uchumi

[hariri |hariri chanzo]

Wakazi wengi wa kaunti hii wanategemeakilimo kwachakula na mapato ya kifedha. Baadhi yamimea inayokuzwa nimahindi,ndizi nachai.[3].

Pia kunabiashara, hasauuzaji wamazao ya kilimo.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo2021-05-30.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo2021-05-30.
  3. Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii:www.smallholderdairy.org

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Kenya Kaunti zaKenya na miji yake mikubwa
Kaunti 47
(tangu Machi 2013)
Miji mikubwa zaidi
Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusuKaunti ya Kisii kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kaunti_ya_Kisii&oldid=1371685"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp