Kaunti ya Bungoma
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kaunti ya Bungoma ni mojawapo yakaunti za Kenya zilizopo baada yakatiba mpya yaJamhuri ya Kenya kupatikanamwaka2010.
Wakati wasensa yamwaka2019 wakazi walikuwa 1,670,570 katika eneo lakm2 3,023.9,msongamano ukiwa hivyo wawatu 552 kwakilometa mraba[1].
Makao makuu yakoBungoma.
Kaunti ya Bungoma inamaeneo bunge yafuatayo[2]:
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuKaunti ya Bungoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |