Kaunti ya Baringo ni mojawapo yakaunti za Kenya zilizopo baada yakatiba mpya yaJamhuri ya Kenya kupatikanamwaka2010.
Wakati wasensa yamwaka2019 wakazi walikuwa 666,763 katika eneo lakm2 10,976.4,msongamano ukiwa hivyo wawatu 61 kwakilometa mraba[1]..
Makao makuu yakoKabarnet.
Kaunti ya Baringo inamaeneo bunge yafuatayo[2]:
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuKaunti ya Baringo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |