Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kationi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Atomi ya haidrojeni (kati) inaprotoni moja naelektroni moja. Kuondolewa kwa elektroni kunaunda kationi (kushoto), wakati kuongezwa kwa elektroni kunaundaanioni (kulia).

Kationi (+) kutokaneno laKigiriki κάτω (káto), likimaanisha "chini") niioni iliyo naelektroni chache kulikoprotoni, na hivyo huwa nachaji chanya.

Katika chombo chaelektrolisisi huvutiwa kwenyekathodi.

Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKationi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kationi&oldid=1084908"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp