Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kaspersky Lab

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
MaabŁara ya Kaspersky
Nembo ya Maabara ya Kaspersky.

Kaspersky Lab nitaasisi yausalama wa mitandao ya kimataifa kuhusiana navirusi vinavyoishambuliakompyuta, na inatoahuduma ya kupambana navirusi hivyo vyakompyuta. Inamakao makuumjiniMoscow,Urusi na inaendeshwa nakampuni iliyomo nchiniUingereza.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Ilianzishwamwaka1997 naEugene Kaspersky, ambaye sasa niMkurugenzi Mtendaji.Maabara ya Kaspersky inakua na kuuza vipambanavirusi,usalama wamtandao, usimamizi wanenosiri, nabidhaa nyingine za huduma za usalama wa mitandao.

Makala hii kuhusu mambo yauchumi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKaspersky Lab kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kaspersky_Lab&oldid=1243264"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp