Kasisi ni jina lenye asili yaKiarabu linalotumika kwa mtu mwenyedaraja takatifu ya pili katikamadhehebu kadhaa yaUkristo, ambapo wengi wanapendelea nenopadri aumchungaji.
Pamoja na matumizi tofauti ya majina, mara nyingi mtazamo waimani kuhusu vyeo hivyo ni tofauti zaidi.
![]() | Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKasisi kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |