Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Karelia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mkoa wa Karelia.
Mahali pa Karelia katikaRussia.

Karelia nimkoa ulioko nchiniUrusi.

Mji mkuu wake niPetrozavodsk.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Karelia ilikaliwa na wakazi wanaoongeaKifini. Kwa muda mrefu maeneo yake yaligombaniwa baina yaUrusi naUswidi.

Tangumwaka1721 sehemu kubwa ya Karelia ilikuwa sehemu yaMilki ya Urusi, sehemu nyingine ilibaki upande wa Uswidi ikawa baadaye sehemu yaufalme mdogo waUfini ndani ya milki ya Urusi.

Baada yauhuru wa Ufini mnamo1918, Wakarelia walijikuta katika nchi mbili tofauti. Baada yaVita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland, sehemu kubwa ya Karelia ya Ufini ilihamishwa upande wa Urusi.

Umoja wa Kisovyeti ilipelekaWarusi naWaukraina wengi Karelia, hivyoasilimia ya watu wanaoendelea kusema Kifini imepungua sana.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaUrusi bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuKarelia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Oblast
Amur Oblast ·Arhangelsk Oblast ·Astrahan Oblast ·Belgorod Oblast ·Bryansk Oblast ·Vladimir Oblast ·Volgograd Oblast ·Vologda Oblast ·Voronezh Oblast ·Ivanovo Oblast ·Irkutsk Oblast ·Kaliningrad Oblast ·Kaluga Oblast ·Kemerovo Oblast ·Kirov Oblast ·Kostroma Oblast ·Kurgan Oblast ·Kursk Oblast ·Leningrad Oblast ·Lipetsk Oblast ·Magadan Oblast ·Moscow Oblast ·Murmansk Oblast ·Nizhniy Novgorod Oblast ·Novgorod Oblast ·Novosibirsk Oblast ·Omsk Oblast ·Orenburg Oblast ·Oryol Oblast ·Penza Oblast ·Pskov Oblast ·Rostov Oblast ·Ryazan Oblast ·Samara Oblast ·Saratov Oblast ·Sahalin Oblast ·Sverdlovsk Oblast ·Smolensk Oblast ·Tambov Oblast ·Tver Oblast ·Tomsk Oblast ·Tula Oblast ·Tyumen Oblast ·Ulyanovsk Oblast ·Chelyabinsk Oblast ·Yaroslavl Oblast
Jamhuri (ru)
Krai (ru)
Okrug Huru (ru)
Oblast huru (ru)
Majiji ya Shirikisho (ru)
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Karelia&oldid=1294172"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp