Ufafanuzi waneno na taratibu zasheria hutofautiana nchi kwanchi. Kwa ujumla, kampuni shirika la biashara linalotengenezabidhaa kwa namna iliyopangwa na kuziuza kwaumma ili kupatafaida.
Kampuni inaweza kuajiriwatu kuwawafanyakazi wa kampuni hiyo.
Kampuni zinapatikana sana katikauchumi wa kibepari, nyingi zikiwa zinamilikiwa na watu binafsi kwa ajili ya kupata faida ambayo itaongezamali ya wamiliki wake na kuikuza biashara yenyewe. Wamiliki na wahudumu wa biashara huwa na lengo mojawapo kuu kama kupata mapato ya kifedha kutokana na kazi wanayoifanya napia kwa sababu ya kukubali kujiingiza kwenye hatari ya kufanya biashara. Baadhi ya kampuni ambazo malengo yake siyo kama yale yaliyosemwa hapo juu ni kamavyama vya ushirika nakampuni zinazomilikiwa na serikali.
Makala hii kuhusu mambo yauchumi bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKampuni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.