Kamera nikifaa kinachochukuapicha. Inatundu moja dogo tu kwa kupokeanuru inayoachapicha ndani yake ama kwenyefilamu au kwenye kihisioelektroniki. Kwa kawaidanafasi hii huwa nalenzi inayozalisha picha ya yale yaliyo nje.
Kamera tuli hushikapicha moja-moja. Picha zinazopigwa mfululizo, angalaupicha 15 kwasekunde au zaidi, zinaweza kushikamwendo utakaoonekana baadaye kama filamu kamapicha hizi zinaonyeshwa mfululizo kwa kutumia projekta au kwenyeskrini ya sinemaruninga aukompyuta.[1][2][3]
Kamera zote kimsingi nisanduku inayofungwa pande zote.Nuru haiwezi kuingia mpakakilango kinafunguliwa n kupitishanuru kwa kipindi kifupi cha sehemu yasekunde pekee. Kilango hiki kipo nyuma yalenzi. Kwa upande mwingine niwenzo maalum ambao unaweza ku rekodipichaambayo inakuja kupitialenzi.Wenzo huu nifilamu katika kamera yafilamu au kihisioelektroniki katika kamera dijiti.
Wakatipicha inachukuliwa, kilango kinatoka nje ya njia. Hii inawezeshanuru kuingia kwa njia yalenzi na kuzalishapicha kwenyefilamu au kihisioelektroniki. Katika kamera nyingi, ukubwa wa tundu unaweza kubadilishwa kulingana na mwangaza augiza yamazingira. Muda ambao kifuniko kinauwezeshamwanga inaweza pia kubadilishwa. Hii pia inakuwezeshamwanga zaidi aumwanga mdogo. Mara nyingi,umeme ndani ya kamera hudhibiti haya, lakini katika kamera nyinginemtu anayeichukuapicha anaweza kubadilisha pia.
Lenzi humwezesha mpigapicha kuvuta mbali au karibu anayoipiga. Kwa njia hii mpigapicha anapatauwezo wa kupiga kwa urahisipicha ya kitu kilicho mbali au kitu kidogo sana na kupata picha safi.
Kamera nyingi huwa nalenzi yake nauwezo wa kuongezewalenzi nyingine ya nje kulingana nakazi inayolengwa kufanywa.Lenzi za nje zinauwezo naurefu wa kuona tofauti kulingana naukubwa wake naidadi yalenzi zinazotumika. Kunalenzi za nje za kamera zasimu pia.[4]
↑Oxford University Press. (2016). "Camera". *Oxford English Dictionary*.https://www.oed.com
↑Ray, S. F. (2002). *Applied Photographic Optics: Lenses and Optical Systems for Photography, Film, Video, Electronic and Digital Imaging*. Focal Press. Kitabu kinachofafanua teknolojia na miundo ya kamera.
↑Langford, M. (2010). *Basic Photography*. Focal Press. Kitabu kinachotoa mwongozo wa msingi juu ya aina, matumizi, na sehemu za kamera.
Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.