Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kalisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kalisi
Jina la ElementiKalisi
AlamaCa
Namba atomia20
Mfululizo safumetali ya udongo alikalini
Uzani atomia40.078
Densiti1.55
Ugumu (Mohs)1.75
Kiwango cha kuyeyuka1115K (842°C)
Kiwango cha kuchemka1757 K (1484 °C)
Asilimia zaganda la dunia3.39 %
Hali maadamango

Kalisi nielementi nametali ya udongo alkalini yenyenamba atomia20 kwenyemfumo radidia inauzani atomia 40.078.Alama yake niCa.Jina linahusiana naneno laKilatinicalx (mawe yachokaa).

Tabia

[hariri |hariri chanzo]

Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingiduniani, ikiwa na nafasi yatano:asilimia 3.39 zaganda la dunia ni kalisi. Ikisafishwa hutokea kamametali laini yenyeranginyeupe-fedha.

Inamenyuka rahisikikemia hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwakampaundi mbalimbali hasa katika mawe.

Unga wa kalisi au vipande vidogo vya metali huunguamoto wenye rangi yanjano-nyekundu, unga hata bila kuwashwa kwa kumenyukahewani tu.

Kalisi ni muhimu kwamiili yawanadamu nawanyama, pia kwamimea, kwa sababu inajengamifupa nameno. Ina piakazi katikamishipa.

Matumizi

[hariri |hariri chanzo]

Kalisi ni muhimu sana katikamaisha yajamii.Ujenzi hutegemea sana kalisi na kampaundi zake.Mawe ya chokaa yaliwahi kutumiwa kwa ujenzi wanyumba tangu miakaelfu kadhaa.

Kampaundi za kalisi ni piamsingi wasaruji na hivyo wa ujenzi wa kisasa.Chokaa ni kiungo cha lazima wakati wa kutengenezafeleji.

Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) nijasi.

Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKalisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kalisi&oldid=1097958"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp