Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kaliforni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaliforni

Kaliforni (Californium) nielementi ya kikemia yenyealamaCf nanamba atomia 98. Nimetalinururifu iliyopangwa katikakundi la aktinidi kwenyejedwali la elementi.Isotopi kadhaa huwa nanusumaisha ya miaka mamia hadi 13,000 lakini isotopi nyingi hudumudakika chache tu.[1]

Kaliforni haipatikani kiasili, nielementi sintetiki. Ilitengenezwa mara ya kwanza kwenyemwaka1950 nawanasayansi katikamaabara yaChuo Kikuu cha KaliforniamjiniBerkeley na kupokeajina lajimbo hilo. Ilipatikana baada ya kufyatuliachembe alfa kwaatomi za Curi.

Kaliforni ni kati ya elementi sintetiki chache zinazotumiwa lakini kwa tahadhari kubwa kwa sababu ya unururifu wake ulio hatarikiafya. Kaliforni hutumiwa hasa kama chanzo chanyutroni

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. NNDC contributors (2008). Sonzogni, Alejandro A. (Database Manager) (ed.). "Chart of Nuclides". National Nuclear Data Center, Brookhaven National Laboratory. Retrieved March 1, 2010.
  2. O'Neil, Marydale J.; Heckelman, Patricia E.; Roman, Cherie B., eds. (2006). The Merck Index: An Encyclopedia of Chemicals, Drugs, and Biologicals (14th ed.). Merck Research Laboratories, Merck & Co.ISBN 978-0-911910-00-1., uk. 276
  3. Martin, R. C. (September 24, 2000).Applications and Availability of Californium-252 Neutron Sources for Waste Characterization (PDF). Spectrum 2000 International Conference on Nuclear and Hazardous Waste Management. Chattanooga, Tennessee. Archived from the original (PDF) on June 1, 2010. Retrieved May 2, 2010.
  4. Bayerisches Staatsministerium für Umwelt, Gesundheit und Verbraucherschutz: Radioaktivität und Strahlungsmessung; 8. überarbeitete Auflage, April 2006 (PDF; 1,3 MB), S. 187.
Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKaliforni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kaliforni&oldid=1349625"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp