Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Juventus F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Juventus F.C.

Juventus Football Club (kutokaKilatini: Juventūs, "Ujana";matamshi yaKiitalia: [juvɛntus]) niklabu yasoka iliyopo katikaligi kuu yaItalia hukoTorino,Piemonte.Juventus ilianzishwa mnamo mwaka1897 na kikundi chawanafunzi wa Torinese. Imeshinda mara 35ligi kuu ya Italia maarufu kamaSerie A.Klabu hii imecheza mechi za nyumbani kwa misingi tofauti karibu najiji lake, na kitu kikubwa kinachomilikiwa na klabu hii niuwanja wa Allianz.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Juventus_F.C.&oldid=1410556"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp