Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Juni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei -Juni -Jul
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Mwezi waJuni ni mwezi wa sita katikaKalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la mungu waWarumiJuno.

Tarehe 21 ya mwezi huo wa Juni (katika miaka mingine inawezekana kuwa tarehe 20 au 22) ni siku yasolistasi ya Kaskazini (kutoka Kiingerezasolstice), yaani wakati jua linapokuwa kaskazini kabisa mwaIkweta.

Juni ina siku 30, na hakuna mwezi mwingine unaoanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Juni katika mwaka uleule.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Juni&oldid=877236"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp