Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Jumla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama ya jumla.

Katikahisabati,jumla (kwaKiingereza:addition) ni moja ya uendeshaji wahesabu nne (pamoja namgawanyiko,utoaji nadharuba). Jumla ni kinyume cha utoaji.Alama ya jumla ni "+".

Mfano wa 3+2=5matofaa.

Kwa usahihi, jumla ni mchakato wa kujumlishathamani yanamba moja na thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 3+2 = 5.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Kinyondo, A. R.Mazoezi ya hisabati kwa kadi. Dar es Salaam University Press.
Makala hii kuhusu mambo yahisabati bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuJumla kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Jumla&oldid=1125887"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp