Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Julian Draxler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Julian Draxler kushoto mwa Mesut Ozil baada ya Ujerumani kushinda kombe la dunia 2014.

Julian Draxler (matamshi yaKijerumani: [juːli̯aːn dʁakslɐ]; alizaliwaSeptemba 20,1993) nimchezaji wasoka waUjerumani ambaye anacheza kamawinga waklabu yaUfaransaParis Saint-Germain (PSG) natimu ya taifa ya Ujerumani. Anajulikana kwa uwezo wake wa kutumiamiguu yote,kasi yake, na nguvu za kupiga mashuti makali.

Draxler alianza kuchezaBundesliga na timu yake ya kwanzaSchalke 04 akiwa naumri wa miaka 17 mnamoJanuari2011.

Kwa jumla, alichezamechi 171 na Schalke 04, alifunga mabao 64, kabla ya kuhamiaVfL Wolfsburg mwaka2015.

MnamoJanuari2017, alijiunga naPSG.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuJulian Draxler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Julian_Draxler&oldid=1040725"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp