Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Joseph Goldstein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joseph Goldstein

Joseph L. Goldstein (amezaliwa18 Aprili1940) ni mwanakemia kutoka nchi yaMarekani. Hasa alichunguzakolesteroli. Mwaka wa1985, pamoja naMichael Brown alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuJoseph Goldstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Joseph_Goldstein&oldid=1119779"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp