Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

José Saramago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
José Saramago Januari 2008

José Saramago (16 Novemba1922 -18 Juni2010) alikuwa mwandishi kutoka nchi yaUreno. Baadhi ya maandiko mengine aliandika hasariwaya. Mwaka wa 1998 alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuJosé Saramago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=José_Saramago&oldid=1119088"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp