Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Jimbo la Nile ya Juu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii yahusu jimbo la Sudan Kusini. Kwa mkoa wake, tazamaMkoa wa Nile ya Juu. Kwa mto, tazamaNile.

29°32′N32°40′E / 29.533°N 32.667°E /29.533; 32.667

Upper Nile

Nile ya Juu (kwaKiing.:Upper Nile; kwaKar. أعالي النيلa'ala an-nil) ni moja ya majimbo (wilayat) yaSudan Kusini. Lina ukubwa wa eneo lakm² 22,122 na wakazi wanaokadiriwa kuwa 4,700,000 (2000).

Malakal ndiomji mkuu wajimbo hilo.

Mto waNile Nyeupe unapitia hapa.

Mji waKodok, ambao ndio mahala paMatukio ya Fashoda yaliyomalizamashindano ya wakoloni kugawa Afrika uko katika jimbo hili.

Vituo vya zamani vyawamisionari katika jimbo la Upper Nile ni pamoja naDolieb Hill,Lul naDetwoc.

Bahr el-Ghazal
Majimbo
Maeneo ya pekee
Equatoria
Majimbo
Greater Upper Nile
Majimbo
Maeneo ya pekee
Makala hii kuhusu maeneo yaAfrika bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuJimbo la Nile ya Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Jimbo_la_Nile_ya_Juu&oldid=1382599"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp