Jibini mbichi inaweza kukandamizwa na kuwa imara zaidi. Baadaye, ilhali ni bado laini, huwekwa katikabakuli na kupokeaumbo lake wakati inaendelea kukauka.
Baadaye inakaa na kuiva. Aina mbalimbali za jibini huiva kwamuda tofautitofauti.
Katika nchi zajoto ni vigumu zaidi kutengeneza jibini bilamashine nafriji, lakini katika nchi nyingi jibini ni sehemu yautamaduni. Jibini nichakula bora chenyeprotini namafuta sawa na maziwa.Kiuchumi ni muhimu kama njia ya kutunza maziwa kwa miezi mingi.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuJibini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.