Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Java (lugha ya programu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Java
Duke (Java mascot) waving
Shina la studionamna : inaozingatiwa kuhusu kipengee

namna nyingi

ImeanzishwaMei 231995 (1995-05-23) (umri 30)
MwanzilishiJames Gosling
Ilivyo sasaIlivutwa na: Ada 83, C++, C#, Eiffel, Mesa, Modula-3, Oberon, Objective-C, UCSD Pascal, Object Pascal

Ilivuta: Ada 2005, BeanShell, C#, Chapel, Clojure, ECMAScript, Fantom, Gambas, Groovy, Hack, Haxe, J#, Kotlin, PHP, Python, Scala, Seed7, Vala

MahalaSun Microsystems
Tovutihttps://www.oracle.com/java/

Java nilugha ya programu. Iliundwa naJames Gosling na ilianzishwatarehe23 Mei1995. Iliundwa ili kuumbaprogramu kwaAndroid. Leo tunatumia Java SE 13. Ilivutwa naC++.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Ilianzishwa mwaka wa 1995 nchiniMarekani. James Gosling, Mike Sheridan, na Patrick Naughton walianza kufanya kazi kuhusu Java mwaka wa1991. Mwaka wa1996 Sun Microsystems ilichapa Java 1.0.

Falsafa

[hariri |hariri chanzo]

Namna ya Java ni ile inaozingatiwa kuhusu kipengee na namna nyingi.

Sintaksia

[hariri |hariri chanzo]

Sintaksia ya Java ni ngumu sana; inafananishwa na lugha za programu nyingine kamaJavaScript,Python auRuby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya Java

[hariri |hariri chanzo]

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

publicclassJamboUlimwengu{publicstaticvoidmain(String[]args){System.out.println("Jambo ulimwengu !");}}

Programu kwa kutafuta thamani katika jedwali.

classMfano2{publicstaticvoidmain(String[]args){int[]table={12,-5,7,8,-6,6,4,78,2};byteelt=4;shorti;for(i=0;i<8;i++){if(elt==table[i]){break;}}afficher(i,elt);}staticvoidafficher(intrang,longval){if(rang==8){System.out.println("thamani : "+val+" haitafutwi.");}else{System.out.println("thamani : "+val+" thamani anatafutwa in rank :"+rang);}}}

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Binstock, Andrew (May 20, 2015). "Java's 20 Years of Innovation". Forbes. Archived from the original on March 14, 2016. Retrieved March 18, 2016.
  • Chaudhary, Harry H. (July 28, 2014). "Cracking The Java Programming Interview :: 2000+ Java Interview Que/Ans". Retrieved May 29, 2016.
  • Java 5.0 added several new language features (the enhanced for loop, autoboxing, varargs and annotations), after they were introduced in the similar (and competing) C# language. [1] Archived March 19, 2011, at the Wayback Machine [2] Archived January 7, 2006, at the Wayback Machine
  • Gosling, James; McGilton, Henry (May 1996). "The Java Language Environment". Archived from the original on May 6, 2014. Retrieved May 6, 2014.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Java_(lugha_ya_programu)&oldid=1135252"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp