Jaribio la χ²
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine

Jaribio la χ² (kwaKiingereza: χ² test) ni jaribio latakwimu ambalo linaweza kujaribu kiasi cha kutegemeana kati ya vipimo viwili.
Jaribio la χ² linatamkwa: Jaribio lakipeo cha pili.
Linapatwa kwahesabu kama Jaribio la χ² la Pearson.
Ili utafute Jaribio la χ² la Pearson kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:
>chisq.test(SampuliYangu)