James alicheza mashindano ya mpira wa kikapu akiwa chuoni na chuo chaArizona State. Mwaka 2009, Kawhi alichaguliwa kama chaguo namba tatu katika machaguzi ya wachezaji wa wadogo katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) nchiniMarekani katika timu yaOklohoma City Thunder. Mwaka 2012, aliisaidia timu yake kufika fainali ya mashindano ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA) lakini walishindwa kuifunga timu yaMiami Heat waliyokua wakipambana nayo.
Mnamo mwaka msimu wa 2012-2013 wa Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA), Harden aliuzwa kuelekea timu yaHouston Rockets. Wakati akiwa anaichezea timu yaHouston Rockets alifanikiwa kua mfungaji bora na alipata kujulikana sana kama mchezaji mzuri[1][2] na pia kama mmoja kati ya wachezaji wakubwa kwenye ligi.[3]
Harden amefanikiwa kuteuliwa katika timu ya mastaa marekani kwa mara tatu. Harden ameweza kuchezeatimu ya wanaume ya mpira wa kikapu ya nchiniMarekani mara mbili, kushinda medali mbili za dhahabu kwenye mashindano yaOlimpiki mwaka 2012 na mashindano ya kombe la Dunia ya FIBA mwaka 2014.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuJames Harden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.