Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

James Gibbons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Cardinal Gibbons (23 Julai183424 Machi1921) alikuwa kiongozi waKanisa Katoliki nchiniMarekani. Alihudumu kama Vikari wa Kitume wa North Carolina kutoka 1868 hadi 1872, Askofu wa Richmond kutoka 1872 hadi 1877, na Askofu Mkuu wa Baltimore kuanzia 1877 hadi kifo chake.[1]

Cardinal Gibbons
Nembo ya Kardinali Gibbons
Sanamu ya Kardinali Gibbons nje ya Basilica ya Baltimore

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. ""His Eminence James Cardinal Gibbons", The Archdiocese of Baltimore". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2015-09-09. Iliwekwa mnamo2015-07-31.
Makala hii bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=James_Gibbons&oldid=1385440"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp