JaVale McGee
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
JaVale Lindy McGee (alizaliwa19 Januari1988) nimchezaji wampira wa kikapu kutokeaMarekani anayeichezeatimu yaLos Angeles Lakers katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).
Alichaguliwa kama chaguo la 18 na timu yaWashington Wizards mnamo mwaka 2008 katika uchaguzi wa wachezaji katika Chama cha taufa cha mpira wa kikapu(NBA). JaVale alifanikiwa kushinda mara mbili na timu yaGolden State Warriors tuzo ya timu bora ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) mwaka 2017 na 2018. Mwaka 2019, JaVale alijiunga na timu yaLos Angeles Lakers
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuJaVale McGee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |