J. J. Anderson
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
J. J. Anderson (alizaliwa25 Septemba1960) alikuwa mchezaji wampira wa kikapu. Kabla hajajiunga naNBA alisoma katika shule ya chicago Metro na hapo baadae aliendelea katika chuo kikuu cha Bradley. Anderson ni mmoja kati ya mashujaa 7 wa timu ya Bradley na jezi yake ilikuwa na namba 11.
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuJ. J. Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |