Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

J.R.R. Tolkien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
J .R .R. Tolkien

John Ronald Reuel Tolkien (3 Januari18922 Septemba1973) alikuwamtaalamu namwandishi kutoka nchi yaUingereza. Ingawa Tolkien alikuwaprofesa katikaChuo Kikuu cha Oxford na kutafitifasihi yaKiingereza cha kale, anajulikana hasa kwa kuandikavitabu vyabunilizi ya kinjozi ambavyo ndani yake alibunidunia yavisasili.

Baadhi ya Vitabu vyake

[hariri |hariri chanzo]
  • 1937 "The Hobbit" (Mhobiti)
  • 1954-56 "The Lord of the Rings" (Bwana wa Mapete)
  • 1977 "The Silmarillion" (kuchapishwa baada yakifo chake tu)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuJ.R.R. Tolkien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=J.R.R._Tolkien&oldid=1392535"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp