Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Itikadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Itikadi ni muongozo wa kikanuni unaozingatiajamii amakundi fulani.

Kuna aina kuu mbili za itikadi:itikadi za kisiasa, naitikadi za kiepistemolojia (ni sehemu yafalsafa ambayo inahusu utafiti wa jinsi tunavyojua mambo). Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na vipi nchi itaendeshwa. Itikadi za kiepistemolojia ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kifalsafa, ulimwengu, na jinsi gani watu wanapaswa kufanya maamuzi.

Kuna aina nyingi za itikadi. Moja kati ya hizo ni pamoja naUkomunisti,Usoshalisti, naubepari ni itikadi kubwa sana za kiuchumi na kisiasa kwa ujumla.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuItikadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Itikadi&oldid=1315368"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp