Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kisiwa cha Man

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaIsle of Man)
Kisiwa cha Man (nyekundu) katikaramani yafunguvisiwa la Britania.

Kisiwa cha Man (kwaKimanx:Ellan Vannin; kwaKiingereza:Isle of Man) nikisiwa kilichopobaharini kati yaUingereza naEire chenye wakazi 75,000 kwenye eneo lakm² 572.

Man nieneo chini ya taji la Uingereza, si sehemu yaUfalme wa Muungano wenyewe.

Douglas nimji mkuu.

Lugha rasmi niKiingereza pamoja na Kimanx ambacho nilughaya Kikelti. Hakuna tena wasemaji wa Kimanx kamalugha ya kwanza, lakini inafundishwashuleni.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi huru
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
1 nchi yaAsia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu yaUlaya kiutamaduni2nchi ya kimabara
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuKisiwa cha Man kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kisiwa_cha_Man&oldid=1322039"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp