Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Wadudu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaInsecta)
Wadudu
Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibuli (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibuli (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia(Wanyama)
Faila:Arthropoda(Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
Nusufaila:Hexapoda(Arithropodi wenye miguu sita)
Ngeli:Insecta(Wadudu)
Linnaeus,1758
Ngazi za chini

Nusungeli na oda:

Wadudu wa kweli (tazamamdudu) ni kundi laarithropodi wadogo kiasi ambalo linaspishi nyingiduniani.Kibiolojia wako katikangeli yaInsecta.

Wadudu wanashirikiana kuwa namuundo wamwili chenye pande tatu zakichwa mbele,kidari katikati nafumbatio nyuma, halafu jozi tatu zamiguu na kwa kawaida jozi mbili zamabawa. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwakhitini yenye kazi yakiunzi nje.

Hadi sasawataalamu waliainisha zaidi ya spishimilioni 1 za wadudu namakadirio ni kwamba kuna spishi nyingi zaidi, labda hadi milioni 30.

Wadudu wanaishi takriban kila mahaliduniani. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu zatropiki na idadi inapungua kwenyebaridi. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikanaAntaktika. Wadudu ni wachache sanabaharini lakini hata humo kuna spishi chache.

Uainishaji

[hariri |hariri chanzo]

Uainishaji wa wadudu umebadilika sana tangu utumiaji wa uchanganuzi waADN umeanza. Mfano wa mwainisho wa hivi karibuni unafuata:

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuWadudu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wadudu&oldid=1116689"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp