Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Indus (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Indus (Sindh, Hind)
Picha ya beseni ya Indus kutoka angani
Picha ya beseni ya Indus kutoka angani
ChanzoNyanda za juu za Tibet
MdomoBahari Hindi
Nchi zabeseni ya mtoChina (Tibet),Uhindi,Pakistan
Urefu3,200 km
Kimo chachanzo5,300 m
Kiasi cha maji kinachotolewa mdomoni6,600 m³/s
Eneo la beseni (km²)1,165,000 km²

Mto Indus {Kiurdu: سندھ Sindh;Kipunjabi Sindhu;Kihindi naSanskrit: सिन्धु Sindhu;Kifarsi: حندو Hindu; Kigiriki: Ινδός Indos} ni mto mrefu waBara Hindi na mto mkubwa nchiniPakistan.

Chanzo chake kipo katikaChina (Tibet) ikiendelea kupitiaUhindi naPakistan. Jina la Uhindi limetokana na jina la mto.

Maji ya Indus hutumiwa kwa mwagiliaji ni uti wa mgongo kwa sehemu kubwa ya kilimo cha Pakistan.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo yaAsia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuIndus (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Indus_(mto)&oldid=1204556"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp