“In da Club” | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||
Single ya50 Cent kutoka katika albamu yaGet Rich or Die Tryin' | ||||||||
Imetolewa | 19 Novemb,2002 | |||||||
Muundo | 12" single,CD | |||||||
Imerekodiwa | 2002 | |||||||
Aina | Hip hop | |||||||
Urefu | 3:13 | |||||||
Studio | Aftermath,Interscope,Shady | |||||||
Mtayarishaji | Dr. Dre, Mike Elizondo | |||||||
Certification | Gold(RIAA) 2× Platinum(ARIA) | |||||||
Mwenendo wa single za50 Cent | ||||||||
|
"In da Club" ni wimbo wahip hop ulioimbwa narapa50 Cent kutoka kwenye albamu yake ya kwanza ya kibiasha,Get Rich or Die Tryin'. Wimbo ulitayarishwa naDr. Dre kwa ushirikiano waMike Elizondo. 50 Cent, Dr. Dre, na Elizondo wameutunga wimbo huu. Wimbo ulitolewa mwishoni kabisa mwa mwaka wa 2002 ukiwa kama wimbo kiongozi wa albamu na ulipata sifa nzuri katika medani ya muziki.
"In da Club" umekuwa wimbo wa kwanza wa 50 Cent na ilikuwa single namba moja katika miaka ya 2003 na ulikuwa wimbo mashuhuriMarekani na kuingia katika tano bora za nchi za Ulaya. Katika sherehe za ugawaji waTuzo za Grammy za 46, ilipata kupigiwa kura katika kundi laNyimbo Bora za Msanii wa Kiume - Solo naWimbo Bora wa Rap.
Chart (2003)[3][4][5] | Peak position |
---|---|
Australian Singles Chart | 1 |
Austrian Singles Chart | 3 |
Belgian Singles Chart | 2 |
Canadian Singles Chart | 1 |
Dutch Singles Chart | 2 |
Danish Singles Chart | 1 |
Eurochart Hot 100 | 1 |
Finnish Singles Chart | 5 |
French Singles Chart | 16 |
German Singles Chart | 1 |
Greek Singles Chart | 3 |
Irish Singles Chart | 1 |
New Zealand Singles Chart | 1 |
Norwegian Singles Chart | 3 |
Swedish Singles Chart | 4 |
Swiss Singles Chart | 1 |
UK Singles Chart | 3 |
U.S.Billboard Hot 100 | 1 |
U.S.BillboardTop 40 Tracks | 1 |
U.S.BillboardHot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 1 |
U.S.BillboardHot Rap Tracks | 1 |
<ref>
tag; no text was provided for refs namedaCharts
<ref>
tag; no text was provided for refs namedAMG
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuIn da Club kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |