Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Imam Muslim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toleo la "Sahihi Muslim"

Muslim ibn al-Hajjaj (jina lake kamili lilikuwa:Abu al-Husayn ‘Asakir ad-Din Muslim ibn al-Hajjaj ibn Muslim ibn Ward ibn Kawshadh al-Qushayri an-Naysabūrī, lakini alijulikana zaidi kamaImam Muslim;815 -875)[1] anajulikana kwa mkusanyiko wake waHadithi za Mtume Muhammad unaokubaliwa kuwa mkusanyiko muhimu pamoja ule ya Al-Bukhari. Unajulikana kama Sahih Muslim[2].

Muslim alizaliwaNishapur katikamkoa wa Khorasan, iliyopo katikaIran yakaskazini-mashariki ya leo. Kufuatana namapokeo alikuwaMwajemi auMwarabu[3].

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Abdul Mawjood, Salahuddin `Ali (2007). The Biography of Imam Muslim bin al-Hajjaj. translated by Abu Bakr Ibn Nasir. Riyadh: Darussalam.ISBN 9960988198.
  2. A.C. Brown, Jonathan (2014). Misquoting Muhammad: The Challenge and Choices of Interpreting the Prophet's Legacy. Oneworld Publications. p. 257.ISBN 978-1780744209. [...] the Sahihayn, the two authentic Hadith compilations of Bukhari and Muslim bin Hajjaj that Sunni Islam has long declared the most reliable books after the Qur'an.
  3. Frye, ed. by R.N. (1975). The Cambridge history of Iran (Repr. ed.). London: Cambridge U.P. p. 471.ISBN 978-0-521-20093-6.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
  1. Interactive diagram of teachers and students of Imam Muslim by Happy BooksIlihifadhiwa 24 Septemba 2015 kwenyeWayback Machine.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Imam_Muslim&oldid=1314279"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp