“If I Can't” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya50 Cent kutoka katika albamu yaGet Rich or Die Tryin' | |||||
Imetolewa | 2002 | ||||
Aina | Hardcore hip hop ,Gangsta rap,East Coast hip hop | ||||
Urefu | 3:16 | ||||
Studio | Aftermath,Interscope,Shady | ||||
Mtunzi | 50 Cent | ||||
Mtayarishaji | Dr. Dre,Mike Elizondoco-prod. | ||||
Mwenendo wa single za50 Cent | |||||
| |||||
Get Rich or Die Tryin' track listing | |||||
|
"If I Can't" niwimbo wa nne na wa mwisho kutoka katika albamu ya kwanza ya msanii/rapa waKimarekani50 Cent,Get Rich or Die Tryin'. Wimbo huu umepata chati hafifu sana katika orodha ya nyimbo za 50 Cent zilizotolewa nchini Marekani. Ulitolewa mwaka wa 2003, na kushika nafasi ya 76 katika maingizo ya 100 bora. Wimbo ulitungwa na 50 Cent na kutayarishwa naDr. Dre, kwa ushirikiano wake mpiga kinanda Mike Elizondo.
Chati (2003)[1][2][3] | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 22 |
German Singles Chart | 34 |
UK Singles Chart ^ | 10 |
U.S.Billboard Hot 100 | 76 |
U.S.BillboardHot Rap Tracks | 15 |
U.S.BillboardHot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 34 |
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuIf I Can't kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |