Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Idris I wa Libya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Idris I wa Libya

Idris I(kwaKiarabu: إدريس الأولidris-al-auwwal) (12 Machi1890 -25 Mei1983) alikuwamfalme wa kwanza na wa mwisho waLibya kati ya miaka1951 na1969.

Jina lake la kiraia lilikuwaMuhamad Idris bin as-Sayyid ibn Muhamad as-Senussi (kwa Kiarabu:محمد إدريس بن السيد المهدي ابن محمد السنوسي ). Alikuwamjukuu waMuhamad ibn Ali as-Senussi aliyeanzisha jumuiya yaWasufi wa Senussi. Muhamad alirithicheo chababu yake. Alikubaliwa kama Emir waCyrenaika naUingereza naItalia baada yaVita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Baada ya Italia kuvamia Libya (1911) aliongozavita vya porini.

Tangumwaka 1951 aliongozataifa jipya la Libya. Mwaka1969alipinduliwa nawanajeshi chini yauongozi waMuammar al-Gaddafi. AlikufaMisri uhamishoni mwaka 1983.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuIdris I wa Libya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Idris_I_wa_Libya&oldid=1020283"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp