INO Records
INO Records | |
---|---|
![]() | |
Shina la studio | Sony Music Entertainment |
Imeanzishwa | 2002 |
Nchi | ![]() |
Mahala | nje yaNashville,Tennessee |
Tovuti | www.inorecords.com |
INO Records ni studio yaMarekani yenye makao yao nje yaNashville,Tennessee. Studio hii inahusika sana na nyimbo za kisasa za Kikristo. Nyimbo zilizorekodiwa huko husambazwa kote duniani kwa kupitiaSony Records (wakati mwingine huwa imetajwa kama moja ya mashirika yake madogomadogo,Epic Records auColumbia Records). Inamilikiwa na Integrity Media tangu mwaka wa 2002. Pia hii ndiyo studio iliyoanzisha SRE Recordings, ambayo hujihusisha zaidi na nyimbo za Kikristo.