Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Buabua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaHydroprogne)
Buabua
Buabua domo-kubwa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Aves (Ndege)
Oda:Charadriiformes (Ndege kamavitwitwi)
Familia:Sternidae (Ndege walio na mnasaba nabuabua)
Jenasi:AnousStephens, 1826

ChlidoniasRafinesque, 1822
GelochelidonBrehm, 1830
GygisWagler, 1832
HydroprogneKaup, 1829
LarosternaBlyth, 1852
OnychoprionWagler, 1832
PhaetusaWagler, 1832
ProcelsternaLafresnaye, 1842
SternaLinnaeus, 1758
SternulaGould, 1843
ThalasseusBoie, 1822

Buabua nindege wafamiliaSternidae. Watu wengi huita ndege hawashakwe kama spishi za familiaLaridae. Wengine hutumia jina buabua kwa spishi za jenasiAnous naChlidonias. Spishi za jenasiGygis ni nyeupe kabisa, zile zaSterna ni nyeupe na zina utosi weusi; spishi nyingi zina madoa meusi kwa mabawa pia. Spishi zaChlidonias zina zaidi ya rangi nyeusi, hata kwa mwili wao, na spishi zaAnous zina rangi nyeupe chache tu. Buabua wana domo refu kadiri lenye ncha kali. Wanaweza kuogelea na wana ngozi kati ya vidole vyao.

Kama shakwe, buabua huhusiswha na pwani, lakini spishi nyingi wanatokea mbali na bahari, kwa kawaida karibu na maji. Huwakamatasamaki wakipiga mbizi, lakini spishi zaChlidonias huwakamatawadudu pia kutoka juu ya maji baridi. Hulitengeneza tago lao chini, mara nyingi kisiwani.

Spishi za Afrika

[hariri |hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri |hariri chanzo]

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Buabua mweusi
    Buabua mweusi
  • Buabua kahawia
    Buabua kahawia
  • Buabua domo-jembamba
    Buabua domo-jembamba
  • Buabua masharubu
    Buabua masharubu
  • Buabua mabawa-meupe
    Buabua mabawa-meupe
  • Buabua mabawa-kijivu
    Buabua mabawa-kijivu
  • Buabua domo-nene
    Buabua domo-nene
  • Buabua mweupe
    Buabua mweupe
  • Buabua domo-kubwa
    Buabua domo-kubwa
  • Buabua mgongo-kijivu
    Buabua mgongo-kijivu
  • Buabua mgongo-mweusi
    Buabua mgongo-mweusi
  • Buabua mkia-mshale
    Buabua mkia-mshale
  • Buabua mbayuwayu
    Buabua mbayuwayu
  • Buabua wa Akitiki
    Buabua wa Akitiki
  • Buabua mashavu-meupe
    Buabua mashavu-meupe
  • Buabua kisogo-cheusi
    Buabua kisogo-cheusi
  • Buabua wa Kerguelen
    Buabua wa Kerguelen
  • Buabua wa Antakitiki
    Buabua wa Antakitiki
  • Buabua kibete
    Buabua kibete
  • Buabua kishungi mdogo
    Buabua kishungi mdogo
  • Buabua kishungi mkubwa
    Buabua kishungi mkubwa
  • Buabua mfalme
    Buabua mfalme
  • Buabua domo-rangimbili
    Buabua domo-rangimbili
  • Inca tern
    Inca tern
  • Grey-backed tern
    Grey-backed tern
  • Grey noddy
    Grey noddy
  • Blue noddy
    Blue noddy
  • River tern
    River tern
  • Forster’s tern
    Forster’s tern
  • White-fronted tern
    White-fronted tern
  • Least tern
    Least tern
  • Yellow-billed tern
    Yellow-billed tern
  • Elegant tern
    Elegant tern
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Buabua&oldid=1341968"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp