Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Hollywood, California

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tazama piaHollywood, Florida
Hollywood
NchiMarekani
JimboCalifornia
WilayaLos Angeles
Tovuti:  www.hollywoodchamber.net
Jina la Hollywood mlimani juu ya mji

Hollywood ni mtaa wa mji waLos Angeles katika jimbo laCalifornia laMarekani. Mtaa huu umekuwa maarufu duniani kama mahali pa kutengenezwa kwa filamu nyingi. Ni kitovu cha filamu Marekani penye makampuni mengi kama vile Universal Studios und Warner Brothers.

Waigizaji wengi wa filamu huishi katika mazingira ya Hollywood.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaCalifornia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuHollywood, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Hollywood,_California&oldid=1291079"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp