Hoja (kutokaneno laKiarabu) ni maelezo yenye misingi na vigezo yanayotolewa kuthibitishaukweli au uhalali wa jambo na pengine kupinga maelezo ya awali.
Yenyewe inaweza kuhitaji jawabu, hasa katika mkutano, kama vilebunge,kamati n.k.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuHoja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |