“Hit 'Em Up” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya2Pac featuringOutlawz kutoka katika albamu yaGreatest Hits | |||||
B-side | 4 Juni 1996 | ||||
Muundo | 12-inch single | ||||
Imerekodiwa | Mei 1996 | ||||
Aina | Gangsta rap West Coast hip hop | ||||
Studio | Death Row/Interscope | ||||
Mtayarishaji | Johnny "J" | ||||
Mwenendo wa single za2Pac featuringOutlawz | |||||
|
"Hit 'Em Up" niwimbo wa kunangana uliotungwa naTupac Shakur, akishirikiana na kundi lake la rap laOutlawz. Wimbo ni wa upande wa pili wa single ya mwaka wa 1996, "How Do U Want It". Wimbo una hoja za matusi dhidi ya marapa kadhaa waEast Coast hip hop, adui mkubwa na rafiki yake wa zamani Tupac Shakur,The Notorious B.I.G.. "Hit 'Em Up" ulitayarishwa na mshirika wa kitambo wa TupacJohnny J na amechukua sampuli ya wimbo wa "Don't Look Any Further" waDennis Edwards.