Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Historia ya Norwei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Norwei inahusu eneo ambalo siku hizi linaundaUfalme waNorwei.

Nchi ilikaliwa nawatuwawindaji nawavuvi tangu mwaka10000 KK hivi.

Katika miaka3000 -2500 KK waliingiawakulima waKizungu.

Katikakarne ya 8 hadikarne ya 10 Norwei ilipelekamabaharia wakeWaviking hadi mbali sana.

Kwa muda mrefu Norwei ilibaki katikamuungano naUdani naUswidi.

Ufalme umekuwa huru tangu mwaka wa1905.

Sikukuu yataifa nitarehe17 Mei, ambapo husherekewakatiba ya Norwei ya mwaka wa1814.

Norwei ilikuwa nchimaskini ya wakulima nawavuvi, lakini tangu kupatikana kwamafuta yapetrolibaharini imekuwa kati ya nchitajiri kabisaduniani.

Historia ya Ulaya
Nchi huru
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
1 nchi yaAsia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu yaUlaya kiutamaduni2nchi ya kimabara
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuHistoria ya Norwei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Historia_ya_Norwei&oldid=1024757"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp